Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Isaya 10:7-9 in Swahili (individual language)

Help us?

Isaya 10:7-9 in Biblia ya Kiswahili

7 Lakini hichi sicho alichomaanisha, wala sivyo afikiriavyo. Maana katika moyo wake ni kuharibu na kuondoa mataifa.
8 Maana amesema, “wakuu wote sio wafalme?
9 Je? kalno si kama Karkemish? Je Hamathi si kama Arpadi? Je Samaria si kama Demeski?
Isaya 10 in Biblia ya Kiswahili