Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Isaya 10:32-33 in Swahili (individual language)

Help us?

Isaya 10:32-33 in Biblia ya Kiswahili

32 Siku hizi za leo atasimulia huko Nobi na atatingisha mlima wa binti Sayuni, mlima wa Yerusalemu.
33 Tazama, Bwana Yahwe wa majeshi atapunguza matawi kwa nguvu za kutisha; miti mirefu itakatwa chini, wanaojivuna wataangushwa.
Isaya 10 in Biblia ya Kiswahili