Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 94

Zaburi 94:1-6

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Yahwe, Ee Mungu ulipaye kisasi, Mungu ulipaye kisasi, utuangazie sisi.
2Inuka, muhukumu wa nchi, uwape wenye majivuno kile wanachosahili.
3Mpaka lini waovu, Yahwe, mpaka lini waovu watafurahia?
4Wanamwaga maneno yao ya kiburi; wote watendao uovu wanajivuna.
5Wanawaangamiza watu wako, Yahwe; wanalitesa taifa ambao ni milki yako.
6Wanamuua mjane na mgeni aishiye nchini mwao, na wanamuua yatima.

Read Zaburi 94Zaburi 94
Compare Zaburi 94:1-6Zaburi 94:1-6