Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 88

Zaburi 88:1-4

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Yahwe, Mungu wa wokovu wangu, ninalia mchana na usiku mbele zako.
2Sikiliza maombi yangu; utazame kulia kwangu.
3Maana nimejawa taabu, na uhai wangu umefika kuzimuni.
4Watu hunichukulia kama wale waendao chini shimoni; mimi ni mtu asiye na nguvu.

Read Zaburi 88Zaburi 88
Compare Zaburi 88:1-4Zaburi 88:1-4