Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 85

Zaburi 85:1-6

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Yahwe, wewe umeonesha fadhilia kwenye nchi yako; umeurejesha ustawi wa Yakobo.
2Umesamehe dhambi ya watu wako; umezisitiri dhambi zao zote. Selah
3Umeondoa ghadhabu yako yote; umeiacha hasira yako kali.
4Uturejeshe sisi, Ee Mungu wa wokovu wetu, na uikomeshe chuki yako juu yetu.
5Je! Utaendelea kuwa na hasira juu yetu milele? utadumisha hasira kizazi chote kijacho?
6Je, hautatuhuisha tena? Kisha watu wako watafurahia katika wewe.

Read Zaburi 85Zaburi 85
Compare Zaburi 85:1-6Zaburi 85:1-6