Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 79

Zaburi 79:3-6

Help us?
Click on verse(s) to share them!
3Wamemwaga damu zao kama maji sehemu zote za Yesrusalemu, na hakuwepo wa kuwazika.
4Sisi tumekuwa aibu kwa majirani zetu, tukidhihakiwa na kuzomewa na wale wanaotuzunguka.
5Mpaka lini Yahwe? Utabaki kuwa na hasira milele? Ni kwa muda gani hasira yako ya wivu itawaka kama moto?
6Mwaga hasira yako juu ya mataifa ambayo hayakujui wewe na ufalme ambao hauliiti jina lako.

Read Zaburi 79Zaburi 79
Compare Zaburi 79:3-6Zaburi 79:3-6