Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 59

Zaburi 59:2-6

Help us?
Click on verse(s) to share them!
2Uniweke salama mbali na wafanyao kazi ya uovu, na uniokoe dhidi ya watu wenye kiu ya damu.
3Maana, tazama, wanasubiria uvamizini waniue. Wafanya maovu wenye nguvu hujikusanya wenyewe pamoja dhidi yangu, lakini sio kwa sababu ya makosa yangu au dhambi yangu, Yahwe.
4Wao wanajiandaa kunikimbiza ingawa sina kosa; amka unisaidie na unitazame.
5Ewe, Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, inika uwaadhibu mataifa yote; usiwe na huruma kwa mhalifu mwovu yeyote. Selah
6Wao wanarudi jioni, wanabweka kama mbwa na kuuzungukia mji.

Read Zaburi 59Zaburi 59
Compare Zaburi 59:2-6Zaburi 59:2-6