Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 55

Zaburi 55:22-23

Help us?
Click on verse(s) to share them!
22Umtwike mizigo yako Yahwe, naye atakusaidia; yeye hataruhusu mtu mwenye haki kuyumbayumba.
23Bali wewe, Mungu, utawaleta waovu chini kwenye shimo la uharibifu; watu wenye kiu ya kumwaga damu na waongo hawataishi hata nusu ya maisha kama wengine, lakini mimi nitakuamini wewe.

Read Zaburi 55Zaburi 55
Compare Zaburi 55:22-23Zaburi 55:22-23