Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 52

Zaburi 52:1-4

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Kwa nini wewe unajivunia kufanya uovu, wewe mtu mwenye nguvu? Uaminifu wa agano la Mungu huja kila siku.
2Ulimi wako hupanga uharibifu kama wembe mkali, na kufanya udanganyifu.
3Wewe unapenda uovu kuliko wema na udanganifu kuliko kuongea haki. Selah
4Wewe hupenda maneno ambayo huwaumiza wengine, wewe ulimi mdanganyifu.

Read Zaburi 52Zaburi 52
Compare Zaburi 52:1-4Zaburi 52:1-4