Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 29

Zaburi 29:5-10

Help us?
Click on verse(s) to share them!
5Sauti ya Yahwe huivunja mierezi; Yahwe huivunja vipande vipande mierezi ya Lebanon.
6Yeye huifanya Lebanoni kuruka kama ndama wa ng'ombe na Sirioni kama mwana wa nyati.
7Sauti ya Yahwe hutoa miale ya moto.
8Sauti ya Yahwe hutetemesha Jangwa; Yahwe hutetemesha jangwa la Kadeshi.
9Sauti ya Yahwe huufanya miti mikubwa kutikisika na huipukutisha misitu. Kila mmoja katika hekalu lake husema, “Utukufu!”
10Yahwe hukaa kama mfalme juu ya mafuriko; Yahwe hukaa kama mfalme milele.

Read Zaburi 29Zaburi 29
Compare Zaburi 29:5-10Zaburi 29:5-10