Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 29

Zaburi 29:2-8

Help us?
Click on verse(s) to share them!
2Mpeni Yahwe utukufu ambao jina lake linastahili. Mpigieni magoti Yahwe katika mapambo ya utakatifu.
3Sauti ya Yahwe imesikika zaidi ya maji; Mungu wa radi ya utukufu, radi yaYahwe i juu ya maji mengi.
4Sauti ya Yahwe ina nguvu; sauti ya Yahwe ni kuu.
5Sauti ya Yahwe huivunja mierezi; Yahwe huivunja vipande vipande mierezi ya Lebanon.
6Yeye huifanya Lebanoni kuruka kama ndama wa ng'ombe na Sirioni kama mwana wa nyati.
7Sauti ya Yahwe hutoa miale ya moto.
8Sauti ya Yahwe hutetemesha Jangwa; Yahwe hutetemesha jangwa la Kadeshi.

Read Zaburi 29Zaburi 29
Compare Zaburi 29:2-8Zaburi 29:2-8