Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 28

Zaburi 28:6-9

Help us?
Click on verse(s) to share them!
6Abarikiwe Yahwe kwa sababu yeye amesikia sauti ya kusihi kwangu!
7Yahwe ni nguvu yangu na ngao yangu; moyo wangu wa humwamini yeye, na ninasaidiwa. Kwa hiyo moyo wangu hufurahia sana, nami nitamsifu yeye kwa kuimba.
8Yahwe ni nguvu ya watu wake, naye ni mkombozi salama wa wapakwa mafuta wake.
9Uwaokoe watu wako na uwabariki warithi wako. Uwe mchungaji wao na uwabebe milele.

Read Zaburi 28Zaburi 28
Compare Zaburi 28:6-9Zaburi 28:6-9