Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 18

Zaburi 18:1-4

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Nakupenda, Yahwe, nguvu yangu.
2Yahwe ni mwamba wangu, ngome yangu, yeye ambaye aniwekae kweye usalama; yeye ni Mungu wangu, mwamba wangu; ninapata kimbilio kwake. Yeye ni ngao yangu, pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.
3Nitamuita Yahwe kwa sababu anastahili kusifiwa, na nitaokolewa kutoka kwa adui zangu.
4Kamba za mauti zilinizunguka, na mafuriko yakimbiayo yalinielemea.

Read Zaburi 18Zaburi 18
Compare Zaburi 18:1-4Zaburi 18:1-4