Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 145

Zaburi 145:2-4

Help us?
Click on verse(s) to share them!
2Kila siku nitakuhimidi; nitalisifu jina lako milele na milele.
3Yahwe ndiye mkuu na wakusifiwa sana; ukuu wake hauchunguziki.
4Kizazi kimoja kitayasifu matendo yako kwa kizazi kijacho na kitatangaza matendo yako makuu.

Read Zaburi 145Zaburi 145
Compare Zaburi 145:2-4Zaburi 145:2-4