Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 144

Zaburi 144:10-13

Help us?
Click on verse(s) to share them!
10uwapaye wafalme wokovu, uliye muokoa Daudi mtumishi wako dhidi ya upanga wa uovu.
11Uniokoe na unitoe mkononi mwa wageni. Midomo yao huongea uongo, na mkono wao wa kuume ni mkono wa uongo.
12Wana wetu na wawe kama mimea ikuayo kwa ukumbwa timilifu katika ujana wao na binti zetu kama nguzo za pembeni, zilizonakishiwa kwa kupamba jumba la kifahari.
13Ghala zetu na zijae akiba ya kila aina ya mazao, na kondoo wetu wazae elfu na makumi elfu mashambani mwetu.

Read Zaburi 144Zaburi 144
Compare Zaburi 144:10-13Zaburi 144:10-13