Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Zaburi - Zaburi 122

Zaburi 122:7-9

Help us?
Click on verse(s) to share them!
7Amani iwepo ndani ya kuta zako ili ikutetee, na wawe na amani ndani ya ngome zako.”
8Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu nitasema, “Amani iwe ndani yenu.”
9Kwa ajili ya Yahwe Mungu wetu, nitatafuta mema kwa ajili yako.

Read Zaburi 122Zaburi 122
Compare Zaburi 122:7-9Zaburi 122:7-9