Text copied!
CopyCompare
Biblia Takatifu - Yohana - Yohana 5

Yohana 5:45-47

Help us?
Click on verse(s) to share them!
45Msifikiri kwamba mimi nitawashtaki kwa Baba. Mose ambaye ninyi mmemtumainia ndiye atakayewashtaki.
46Kama kweli mngemwamini Mose, mngeniamini na mimi pia; maana Mose aliandika juu yangu.
47Lakini hamuyaamini yale aliyoandika, mtawezaje basi, kuamini maneno yangu?”

Read Yohana 5Yohana 5
Compare Yohana 5:45-47Yohana 5:45-47