Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Yohana - Yohana 4

Yohana 4:1-5

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Basi Yesu alipofahamu kuwa Mafarisayo wamesikia kuwa Yesu alikuwa anafuasa na kuwabatiza zaidi ya Yohana,
2(ingawa Yesu mwenyewe alikuwa habatizi ila wanafunzi wake),
3alitoka Judea na akaenda Galilaya.
4Hivyo ilikuwa muhimu kupitia Samaria.
5Na akafika kwenye mji wa Samaria, unaoitwa Sikari, karibu na eneo ambalo Yakobo alimpa mwanae Yusufu.

Read Yohana 4Yohana 4
Compare Yohana 4:1-5Yohana 4:1-5