Text copied!
CopyCompare
Biblia Takatifu - Yohana - Yohana 3

Yohana 3:32-36

Help us?
Click on verse(s) to share them!
32Yeye husema yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna mtu anayekubali ujumbe wake.
33Lakini mtu yeyote anayekubali ujumbe wake anathibitisha kwamba Mungu ni kweli.
34Yule aliyetumwa na Mungu husema maneno ya Mungu, maana Mungu humjalia mtu huyo Roho wake bila kipimo.
35Baba anampenda Mwana na amemkabidhi vitu vyote.
36Anayemwamini Mwana anao uzima wa milele; asiyemtii Mwana hatakuwa na uzima wa milele, bali ghadhabu ya Mungu hubaki juu yake.”

Read Yohana 3Yohana 3
Compare Yohana 3:32-36Yohana 3:32-36