Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Yohana - Yohana 2

Yohana 2:2-7

Help us?
Click on verse(s) to share them!
2Yesu na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa katika arusi.
3Wakati walipoishiwa na divai, mama yake Yesu akamwambia, “Hawana divai.”
4Yesu akajibu, “Mwanamke hiyo inanihusu nini mimi? Muda wangu mimi bado haujatimia.”
5Mama yake akawambia watumishi, “Chochote atakachowambia fanyeni.”
6Basi kulikuwa na mitungi sita ya mawe pale iliyowekwa kwa ajili ya kunawa katika sikukuu za Wayahudi, kila moja lilikuwa na ujazo wa nzio mbili tatu.
7Yesu akawambia, “Ijazeni maji mitungi ya mawe.” Wakajaza hadi juu.

Read Yohana 2Yohana 2
Compare Yohana 2:2-7Yohana 2:2-7