Text copied!
CopyCompare
Biblia Takatifu - Yohana - Yohana 2

Yohana 2:2-5

Help us?
Click on verse(s) to share them!
2naye Yesu alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake.
3Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, 鈥淗awana divai!鈥
4Yesu akamjibu, 鈥淢ama, usiniambie la kufanya. Saa yangu bado.鈥
5Hapo mama yake akawaambia watumishi, 鈥淟olote atakalowaambieni, fanyeni.鈥

Read Yohana 2Yohana 2
Compare Yohana 2:2-5Yohana 2:2-5