Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Wimbo wa Sulemani - Wimbo wa Sulemani 6

Wimbo wa Sulemani 6:10-11

Help us?
Click on verse(s) to share them!
10“Ni nani huyo anaye jitokeza kama kukicha, mzuri kama mwezi, ana ng'aa kama jua, uamasisha kama bendera ya jeshi?” Mpenzi wa mwanamke akizungumza mwenyewe
11Nimeenda kwenye kichaka cha miti ya milozi kuona mimea midogo ikikua bondeni, kuona kama mizabibu imechipua, na kama mikomamanga imestawi.

Read Wimbo wa Sulemani 6Wimbo wa Sulemani 6
Compare Wimbo wa Sulemani 6:10-11Wimbo wa Sulemani 6:10-11