Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Warumi - Warumi 1

Warumi 1:20-22

Help us?
Click on verse(s) to share them!
20Maana mambo yake yasioonekana vizuri yamekuwa wazi tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Yanaeleweka kupitia vitu vilivyoumbwa. Mambo haya ni uwezo wake wa milele na asili ya uungu. Matokeo yake, watu hawa hawana udhuru.
21Hii ni kwa sababu, ingawa walijua kuhusu Mungu, hawakumtukuza yeye kama Mungu, wala hawakumpa shukrani. Badala yake, wamekuwa wapumbavu katika mawazo yao, na mioyo yao yenye ujinga ilitiwa giza.
22Walijiita kuwa ni werevu, lakini wakawa wajinga.

Read Warumi 1Warumi 1
Compare Warumi 1:20-22Warumi 1:20-22