Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Ezra

Ezra 2

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Hawa ndio watu katika jimbo waliochukuliwa mateka na kwenda na mfalme Nebukadneza, yeye aliwachukua utumwani Babeli, watu wakarudi katika miji yao ya Yerusalem na Yuda.
2Walikuja pamoja na Zerubabeli, Yoshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari., Bigwai, Rehumu, na Baana. Hii ndio idadi ya wanaume ya watu wa Israeli.
3Waporoshi: 2, 172
4Wana wa Shefatia: 372
5Wana wa Ara: 775.
6Wana wa Path-Moabu, kupitia Yeshua na Yoabu: 2, 812.
7Wana wa Eliamu: 1, 254.
8Wana wa Zatu: 945.
9Wana wa Zakai: 760.
10Wana wa Binui: 642.
11Wana wa Bebai: 623.
12Wana wa Azgadi: 1, 222.
13Wana wa Adonikamu: 666.
14Wana wa Bigwai: 2, 056.
15Wana wa Adini: 454.
16Wana wa Ateri kupitia Hezekiah: tisini na nane.
17Wana wa Besai: 323.
18Wana wa Harifu: 112.

19Wanaume wa Hashimu: 223.
20Wanaume wa Gibeoni: Tisini na tano.
21Wanaume wa Bethlehemu: 123.
22Wanaume wa Netofa: Hamsini na sita.
23Wanaume wa Anathothi: 128.
24Wanaume wa Beth-Azmawethi: Arobaini na mbili.
25Wanaume wa Kiriath-Yearimu, na Kefira, na Beerothi: Mia saba arobaini na tatu.
26Wanaume wa Rama na Geba: 621.
27Wanaume wa Mikmashi: 122.
28Wanaume wa Betheli, na Ai: 223.
29Wanaume wa Nebo: Hamsini na mbili.
30Wanaume wa Magbishi: 156.
31Wanaume wengine wa Elamu: 1, 254.
32nne. Wanaume wa Harimu: 320.
33Wanaume wa Lodi, na Hadidi, na Ono: 725.
34Wanaume wa Yeriko: 345.
35Wanaume wa Senaa: 3, 630.
36Wana wa Yedaya kuhani wa nyumba ya Yoshua: 973.

37Wana wa Imeri: 1, 052.
38Wana wa Pashuri: 1, 247.
39Wana wa Harimu: 1, 017.
40Walawi: Wana wa Yeshua, na Kadmieli, wana wa Hodavia: Sabini na
41nne. Waimbaji hekaluni wana wa Asafu: 128.
42Walinzi: wana wa Shalumu, Ateri na, Talmoni, Akubu, Hatita na Shobai: 139 jumla.
43Wale walichaguliwa kuhudumu ndani ya Hekalu: wana wa Siha, Hasufa, Tabaothi:
44Keros, Siaha, Padoni.
45Lebana, Hagaba, Akubu,
46Hagabu, Salmai, Hanani
47Wana wa Gideli, Gahari, Reaya,
48Resini, Nekoda, Gazamu,
49Uza, Pasea, Besai,
50Asna, Meunimu, Nefusimu:
51Wana wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri:
52Basluthi, Mehida, Barsha:
53Barkosi, Sisera, Tema:
54Nesia, Tefa

55Wana wa watumishi wa Selemani: Wana wa Sotai, Soferethi, Peruda,
56Yaala, Darkoni, Gideli,
57Shefatia, Hatili, Pokereth-Sebaimu, Amoni,
58Walikuwa jumla ya watumishi mia tatu tisini na mbili waliochaguliwa kutumika katika Hekalu pamoja na wana wa watumishi wa Selemani.
59Wale ambao walitoka Tel-mela, Tel-harsha, Kerubu, Adani, na Imeri, Lakini hawakuweza kuthibitisha kizazi chao kilitoka Israeli-
60pamoja na mia sita hamsini na mbili wana wa Delaya, Tobia na Nekoda.
61Vilevile, kutoka kwa wana wa kuhani: Wana wa Habaya, Hakosi, Barzilai {ambaye alipata mke kutoka kwa binti ya Barzilai, Mgileadi na akaitwa kwa jina lao}
62Walitafuta kumbukumbu ya kizazi chao, lakini haikupatikana, hivyo wakaondolewa kwenye ukuhani kama wasiosafi.
63Hivyo kiongozi akawakataza wasile kitu chochote kitakatifu kilichotakaswa mpaka kuhani mwenye Urimu na Thumimu athibitishe.
64Jumla ya kundi 42, 360,
65ukiondoa watumishi na wasaidizi (wao walikuwa 7, 337) waimbaji Hekaluni wanaume na wanawake (mia mbili)
66Farasi wao: 736, Nyumbu wao: 245.
67Ngamia wao: 435. Punda wao: 6, 720.
68Walipokwenda kwenye nyumba ya Yahwe Yerusalem, wakuu wa mababa walijitoa kwa hiari kujenga nyumba.
69Walitoa kadiri ya uwezo wao katika kufadhili kazi: Dhahabu za darkoni sitini na moja elfu, mane za fedha elfi tano na mavazi mia moja ya makuhani.
70Basi makuhani na walawi, watu, waimbaji hekaluni, na walinzi wa getini, na wale waliochaguliwa kutumika katika Hekalu walikaa katika miji yao. Watu wote katika Israel walikuwa katika miji yao.