Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Mithali - Mithali 30

Mithali 30:27-33

Help us?
Click on verse(s) to share them!
27Nzige hawana mfalme, lakini wote wanamwendo wa mpangilio.
28Kama mjusi, unaweza kumkunja kwa mikono yako miwili, lakini wanapatikana katika majumba ya wafalme.
29Kuna vitu vitatu ambavyo ni fahari katika mwendo na vinne ambavyo ni fahari katika namna ya kutembea:
30simba, aliyeimara miongoni mwa wanyama- wala hajiepushi na kitu chochote;
31jogoo anayetembea kwa mikogo; mbuzi; na mfalme ambaye askari wapo kando yake.
32Kama umekuwa mpumbavu, jitukuze mwenyewe, au kama umekuwa ukisimamia vibaya- weka mkono wako juu ya kinywa chako.
33Kama kusuka maziwa hufanya siagi na pua ya mtu hutoa damu kama imepigwa, basi matendo yanayofanywa kwa hasira huzalisha mafarakano.

Read Mithali 30Mithali 30
Compare Mithali 30:27-33Mithali 30:27-33