Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Mithali - Mithali 16

Mithali 16:1-5

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Mipango ya moyo ni ya mtu, bali Yehova hutoa jawabu kutoka kwenye ulimi wake.
2Njia zote za mtu ni safi kwenye macho yake mwenyewe, bali Yehova huipima mioyo.
3Kabidhi kwa Yehova kazi zako zote na mipango yako itafanikiwa.
4Yehova alifanya kila kitu kwa kusudi lake, hata waovu kwa ajili ya siku ya taabu.
5Yehova anamchukia kila mtu mwenye moyo wa majivuno, ingawa wanasimama imara, hawakosi kupata adhabu.

Read Mithali 16Mithali 16
Compare Mithali 16:1-5Mithali 16:1-5