Text copied!
CopyCompare
Biblia Takatifu - Matendo - Matendo 21

Matendo 21:39-40

Help us?
Click on verse(s) to share them!
39Paulo akajibu, “Mimi ni Myahudi, mzaliwa wa Tarso katika Kilikia; mimi ni raia wa mji maarufu. Tafadhali, niruhusu niongee na watu.
40Yule mkuu wa jeshi akamruhusu. Hivyo Paulo alisimama juu ya ngazi, akawapungia mkono wale watu na walipokaa kimya, akaanza kuongea nao kwa Kiebrania.

Read Matendo 21Matendo 21
Compare Matendo 21:39-40Matendo 21:39-40