Text copied!
CopyCompare
Biblia Takatifu - Matendo - Matendo 21

Matendo 21:37-39

Help us?
Click on verse(s) to share them!
37Walipokuwa wanamwingiza ndani ya ngome, Paulo alimwomba mkuu wa jeshi akisema, “Naweza kukwambia kitu?” Yule mkuu wa jeshi akamjibu, “Je unajua Kigiriki?
38Kwani wewe si yule Mmisri ambaye hivi majuzi alianzisha uasi na kuwaongoza majahili elfu nne hadi jangwani?”
39Paulo akajibu, “Mimi ni Myahudi, mzaliwa wa Tarso katika Kilikia; mimi ni raia wa mji maarufu. Tafadhali, niruhusu niongee na watu.

Read Matendo 21Matendo 21
Compare Matendo 21:37-39Matendo 21:37-39