Text copied!
CopyCompare
Biblia Takatifu - Matendo - Matendo 19

Matendo 19:2-5

Help us?
Click on verse(s) to share them!
2Akauliza, “Je, mlipopata kuwa waumini mlipokea Roho Mtakatifu?” Nao wakamjibu, “La! Hata kusikia kwamba kuna Roho Mtakatifu hatujasikia.”
3Naye akasema, “Sasa mlipata ubatizo wa namna gani?” Wakamjibu, “Ubatizo wa Yohane.”
4Naye Paulo akasema, “Ubatizo wa Yohane ulikuwa wa kuonyesha kwamba watu wametubu. Yohane aliwaambia watu wamwamini yule ambaye alikuwa anakuja baada yake, yaani Yesu.”
5Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu.

Read Matendo 19Matendo 19
Compare Matendo 19:2-5Matendo 19:2-5