Text copied!
CopyCompare
Biblia ya Kiswahili - Isaya - Isaya 10

Isaya 10:1-7

Help us?
Click on verse(s) to share them!
1Ole wao watimizao sheria zisizo za haki na waandikao sheria zisizo na haki.
2Wanawanyima wahitaji haki yao, wanawaibia watu wangu walio masikini haki zao, wajane mateka wao, na kuwafanya waliofiwa na baba zao mawindo yao!
3Hutafanya nini siku ya hukumu pale siku ya uaribifu itakapokuja kutoka mbali, utakimbilia msaada kwa nani? na utauacha utajiri wako wapi?
4Hakuna kitakachobaki, utaota miongoni mwa wafungwa au kuanguka miongoni mwa wauwaji. Katika mambo yote haya, hasira yake haijapungua; badala yake mkono wake ameunjoosha hata sasa.
5Ole kwa watu wa Asiria klabu ya asira yangu, fimbo ya asira yangu!
6Nimemtuma juu ya taifa lenye kiburi na juu ya watu waliobeba uwingi wa hasira. Ninaamuru chukua nyara, chukua mawindo, na kuwakanyaga wao kama matope mitaani.
7Lakini hichi sicho alichomaanisha, wala sivyo afikiriavyo. Maana katika moyo wake ni kuharibu na kuondoa mataifa.

Read Isaya 10Isaya 10
Compare Isaya 10:1-7Isaya 10:1-7